top of page
home
MSIMAMO WETU
Sisi ni huduma isiyo fungamana na dhehebu lolote, wafanyakazi wa misheni wa siku za mwisho, ambao lengo lao ni kuufikia ulimwengu kwa Injili ya Yesu Kristo, na kwa ajili ya ufalme wa Mungu.
Huduma yetu inafafanuliwa kupitia maeneo makuu matatu ambayo ni kutafuta waliopotea, kuandaa watakatifu na kuandaa kanisa kwa ajili ya ujio wa pili wa Yesu Kristo.
KUTOKA KWENYE BLOG YETU
Zana za Ukuaji wako wa Kiroho
SHIRIKI PAMOJA NASI
Tuna watu takribani bilioni 8 duniani, na bilioni 2.38 wanajulikana kama Wakristo jambo ambalo linatuambia bado kuna kazi kubwa ya kufanya ili Injili iwafikie wengi tunaposubiri ujio wa pili wa Yesu Kristo. Lakini kazi hii haiwezi kufanywa na sisi wenyewe,karibu kushirikiana nasi leo ili kwa pamoja tuweze kuwafikia wengi kwa ajili ya ufalme wa Mungu.
Jiunge na jarida letu la kila wiki kama ungependa kujua zaidi kuhusu kazi zetu na kupata maoni mapya ya kiroho.
bottom of page