top of page
Vipakuliwa
Jinsi ya kushinda dhambi ya Punyeto na ponografia
Ponografia na kupiga punyeto ni tatizo kubwa siku hizi. Kanisani na katika jamii utakuta idadi kubwa ya vijana ndio waathirika wa punyeto na ponografia. Cha kushangaza hakuna aliye tayari kulizungumzia au hata kukemea waziwazi kanisani; lakini ukweli ni kwamba, ni muuaji wa kimya wa kanisa.
bottom of page